Judges 19:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akamwambia, “Simama twende.” Lakini yeye hakujibu kitu. Akamchukua, akamweka juu ya punda wake na kumpeleka mpaka nyumbani kwake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akamwambia yule suria, “Inuka, twende.” Lakini hakujibu. Yule bwana akamwinua, akampandisha juu ya punda wake, na wakaondoka kwenda nyumbani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamwambia, Haya ondoka, twende zetu; lakini hakuna aliyemjibu; ndipo akamwinua akamweka juu ya punda; mtu huyo akaondoka, akaenda mahali pake mwenyewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akamwambia, “Simama twende.” Lakini yeye hakujibu kitu. Akamchukua, akamweka juu ya punda wake na kumpeleka mpaka nyumbani kwake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akamwambia yule suria, “Inuka, twende.” Lakini hakujibu. Yule bwana akamwinua akampandisha juu ya punda wake, wakaondoka kwenda nyumbani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akamwambia yule suria, “Inuka, twende.” Lakini hakujibu. Yule bwana akamwinua akampandisha juu ya punda wake, wakaondoka kwenda nyumbani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamwambia, Haya inuka, twende zetu; lakini hakumjibu; ndipo akamwinua akamweka juu ya punda; mtu huyo akaondoka, akaenda kwake nyumbani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akamwambia, “Simama twende.” Lakini yeye hakujibu kitu. Akamchukua, akamweka juu ya punda wake na kumpeleka mpaka nyumbani kwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipomwambia: Inuka, twende zetu! hakuna aliyejibu. Ndipo, alipomchukua na kumweka juu ya punda; ndivyo, yule mtu alivyoondoka kwenda kwao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamwambia, Haya ondoka, twende zetu; lakini hakuna aliyemjibu; ndipo akamwinua akamweka juu ya punda; mtu huyo akaondoka, akaenda mahali pake mwenyewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akamwambia: “Simama tuende.” Lakini yeye hakujibu kitu. Akamukamata, akamuweka juu ya punda wake na kumupeleka mpaka kwake.