Judges 19:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alipofika nyumbani kwake akachukua kisu na kumkatakata yule suria vipande kumi na viwili. Kisha akavipeleka vipande hivyo katika maeneo yote ya nchi ya Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alipofika nyumbani, akachukua kisu na kumkatakata yule suria kiungo kwa kiungo, vipande kumi na mbili, na kuvipeleka katika sehemu zote za Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye alipokwisha kuingia nyumbani mwake, akatwaa kisu, kisha akamshika huyo suria yake, akampasua kiungo kwa kiungo, vipande kumi na viwili akampeleka katika mipaka yote ya Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alipofika nyumbani kwake akachukua kisu na kumkatakata yule suria vipande kumi na viwili. Kisha akavipeleka vipande hivyo katika maeneo yote ya nchi ya Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alipofika nyumbani, akachukua kisu na kumkatakata yule suria kiungo kwa kiungo, sehemu kumi na mbili, na kuvipeleka hivyo vipande katika sehemu zote za Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alipofika nyumbani, akachukua kisu na kumkatakata yule suria kiungo kwa kiungo, sehemu kumi na mbili, na kuvipeleka hivyo vipande katika sehemu zote za Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye alipoingia nyumbani mwake, akatwaa kisu, kisha akamshika huyo suria wake, akampasua kiungo kwa kiungo, vipande kumi na viwili akampeleka katika mipaka yote ya Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alipofika nyumbani kwake akachukua kisu na kumkatakata yule suria vipande kumi na viwili. Kisha akavipeleka vipande hivyo katika maeneo yote ya nchi ya Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipofika nyumbani mwake, akatwaa kisu, kisha akamshika suria yake, akamkata mifupa kwa mifupa kuwa vipande kumi na viwili, akavituma kufika mipakani po pote kwao Waisiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye alipokwisha kuingia nyumbani mwake, akatwaa kisu, kisha akamshika huyo suria yake, akampasua kiungo kwa kiungo, vipande kumi na viwili akampeleka katika mipaka yote ya Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alipofika kwake akatwaa kisu na kumukatakata yule habara vipande kumi na viwili. Kisha akavipeleka vipande hivyo katika maeneo yote ya inchi ya Israeli.