Judges 19:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wale wote walioona jambo hilo wakasema, “Jambo kama hili halijawahi kutukia wala kuonekana tangu siku ile Waisraeli walipotoka nchini Misri mpaka leo. Tulifikirie, tushauriane na kuamua.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kila mtu aliyeona akasema, “Jambo la namna hii halijaonekana wala kutendeka, tangu Waisraeli walipopanda kutoka Misri. Fikirini juu ya jambo hili! Tafakarini juu ya jambo hili! Tuambieni tufanye nini!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi ikawa, wote walioliona jambo hilo wakasema, Jambo kama hili halijatendeka wala kuonekana tangu siku hiyo wana wa Israeli walipokwea kutoka katika nchi ya Misri hata leo; haya, lifikirini, fanyeni shauri, mkanene.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wale wote walioona jambo hilo wakasema, “Jambo kama hili halijawahi kutukia wala kuonekana tangu siku ile Waisraeli walipotoka nchini Misri mpaka leo. Tulifikirie, tushauriane na kuamua.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kila mtu aliyeona akasema, “Jambo la namna hii halijaonekana wala kutendeka, tangu Israeli walipopanda kutoka Misri. Fikirini juu ya jambo hili! Tafakarini juu ya jambo hili! Tuambieni tufanye nini!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kila mtu aliyeona akasema, “Jambo la namna hii halijaonekana wala kutendeka, tangu Israeli walipopanda kutoka Misri. Fikirini juu ya jambo hili! Tafakarini juu ya jambo hili! Tuambieni tufanye nini!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi ikawa, wote waliolishuhudia jambo hilo wakasema, Jambo kama hili halijatendeka wala kuonekana tangu siku hiyo wana wa Israeli walipokwea kutoka katika nchi ya Misri hadi leo; haya, lifikirini, fanyeni shauri, na mliseme.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wale wote walioona jambo hilo wakasema, “Jambo kama hili halijawahi kutukia wala kuonekana tangu siku ile Waisraeli walipotoka nchini Misri mpaka leo. Tulifikirie, tushauriane na kuamua.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kila mtu aliyeviona akasema: Jambo kama hili halijafanyika, wala halijaonekana tangu siku hiyo, wana wa Isiraeli walipotoka Misri kwenda kupanda huku, mpaka siku hii ya leo. Haya! Liwekeni mioyoni mwenu, mpige mashauri, kisha mseme!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi ikawa, wote walioliona jambo hilo wakasema, Jambo kama hili halijatendeka wala kuonekana tangu siku hiyo wana wa Israeli walipokwea kutoka katika nchi ya Misri hata leo; haya, lifikirini, fanyeni shauri, mkanene.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wale wote walioona jambo hilo wakasema: “Jambo kama hili halijatukia wala kuonekana tangu siku ile Waisraeli walipotoka katika inchi ya Misri mpaka leo. Tufikiri juu yake, tushauriane na kuamua.”