Judges 19:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baba mkwe wake akamkaribisha, naye akakaa huko kwa muda wa siku tatu; huyo Mlawi na mtumishi wake wakala, wakanywa na kulala huko.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baba mkwe wake, yaani baba yake yule msichana, akamsihi akae. Hivyo akakaa na huyo baba mkwe wake kwa siku tatu, wakila na kunywa, na kulala huko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha mkwewe, babaye huyo mwanamke, akamzuia; akakaa naye siku tatu; basi wakala na kunywa na kulala kuko.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baba mkwe wake akamkaribisha, naye akakaa huko kwa muda wa siku tatu; huyo Mlawi na mtumishi wake wakala, wakanywa na kulala huko.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baba mkwe wake, yaani, baba yake yule msichana, akamzuia ili akae, hivyo akakaa na huyo baba mkwe wake kwa siku tatu, wakila, wakinywa na kulala huko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baba mkwe wake, yaani, baba yake yule msichana, akamzuia ili akae, hivyo akakaa na huyo baba mkwe wake kwa siku tatu, wakila, wakinywa na kulala huko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha mkwewe, babaye huyo mwanamke, akamzuia; akakaa naye siku tatu; basi wakala na kunywa na kulala huko.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baba mkwe wake akamkaribisha, naye akakaa huko kwa muda wa siku tatu; huyo Mlawi na mtumishi wake wakala, wakanywa na kulala huko.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mkwewe, babake yule kijana wa kike, akamshika, akae naye siku tatu; wakala, wakanywa, wakalala huko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha mkwewe, babaye huyo mwanamke, akamzuia; akakaa naye siku tatu; basi wakala na kunywa na kulala kuko.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Baba mukwe akamukaribisha, naye akakaa kule kwa muda wa siku tatu. Yule Mulawi na mutumishi wake wakakula, wakakunywa na kulala kule.