Judges 19:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yule mtu aliposimama akitaka kuondoka, baba mkwe wake akamhimiza abaki, naye akabaki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi yule mtu alipotaka kuondoka, baba mkwe wake akamsihi, hivyo akabaki usiku ule.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yule mtu akainuka ili aondoke; lakini mkwewe akamsihi-sihi, naye akalala kuko tena.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yule mtu aliposimama akitaka kuondoka, baba mkwe wake akamhimiza abaki, naye akabaki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi yule mtu alipotaka kuondoka baba wa yule msichana akamsihi, basi akabakia usiku ule.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi yule mtu alipotaka kuondoka baba wa yule msichana akamsihi, basi akabaki usiku ule.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yule mtu akainuka ili aondoke; lakini mkwewe akamsihi sana, naye akalala huko tena.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yule mtu aliposimama akitaka kuondoka, baba mkwe wake akamhimiza abaki, naye akabaki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yule mtu alipoamka, aende zake, mkwewe akamhimiza kwa kumwomba, basi, akarudi, akalala huko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yule mtu akainuka ili aondoke; lakini mkwewe akamsihi-sihi, naye akalala kuko tena.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule mutu aliposimama akitaka kuondoka, baba mukwe akamusihi abaki, naye akabaki.