Judges 2:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Waisraeli walitenda uovu mbele ya Mwenyezi-Mungu na kuabudu Mabaali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Waisraeli wakatenda maovu machoni pa Mwenyezi Mungu na kuwatumikia Mabaali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana wa Israeli walifanya yaliyokuwa ni maovu mbele za macho ya Bwana, nao wakawatumikia Mabaali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Waisraeli walitenda uovu mbele ya Mwenyezi-Mungu na kuabudu Mabaali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo Waisraeli wakatenda maovu machoni pa BWANA na kuwatumikia Mabaali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo Waisraeli wakatenda maovu machoni pa bwana na kuwatumikia Mabaali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wana wa Israeli walifanya mambo maovu mbele za macho ya BWANA, nao wakawatumikia Mabaali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Waisraeli walitenda uovu mbele ya Mwenyezi-Mungu na kuabudu Mabaali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, wana wa Isiraeli walipoyafanya yaliyo mabaya machoni pake Bwana kwa kuyatumikia Mabaali.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana wa Israeli walifanya yaliyokuwa ni maovu mbele za macho ya BWANA, nao wakawatumikia Mabaali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Waisraeli walitenda uovu mbele ya Yawe na kuabudu Mabali.