Judges 2:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walimwacha Mwenyezi-Mungu, wakatumikia Mabaali na Maashtarothi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa sababu walimwacha na kutumikia Baali na Maashtorethi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamwacha Bwana, wakamtumikia Baali na Maashtorethi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walimwacha Mwenyezi-Mungu, wakatumikia Mabaali na Maashtarothi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa sababu walimwacha yeye na kutumikia Baali na Maashtorethi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa sababu walimwacha na kutumikia Baali na Maashtorethi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamwacha BWANA, wakamtumikia Baali na Maashtorethi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walimwacha Mwenyezi-Mungu, wakatumikia Mabaali na Maashtarothi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipomwacha Bwana wakamtumikia Baali, nayo Maastaroti.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamwacha BWANA, wakamtumikia Baali na Maashtorethi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walimwacha Yawe, wakatumikia Mabali na Mastaroti.