Judges 2:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo Mwenyezi-Mungu akawapa waamuzi ambao waliwaokoa mikononi mwa watu waliopora mali zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Mwenyezi Mungu akawainua waamuzi, ambao waliwaokoa kutoka mikononi mwa hao wavamizi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Bwana akawainua waamuzi, waliowaokoa na mikono ya watu hao waliowateka nyara.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo Mwenyezi-Mungu akawapa waamuzi ambao waliwaokoa mikononi mwa watu waliopora mali zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo BWANA akawainua waamuzi, ambao waliwaokoa katika mikono ya hao watu waliowashambulia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo bwana akawainua waamuzi, ambao waliwaokoa katika mikono ya hao watu waliowashambulia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha BWANA akawainua waamuzi, waliowaokoa mikononi mwa watu hao waliowateka nyara.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo Mwenyezi-Mungu akawapa waamuzi ambao waliwaokoa mikononi mwa watu waliopora mali zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Bwana alipowainulia waamuzi, wawaokoe mikononi mwao waliowanyang'anya mali zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha BWANA akawainua waamuzi, waliowaokoa na mikono ya watu hao waliowateka nyara.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Yawe akawapa waamuzi ambao waliwaokoa toka katika mikono ya watu walionyanganya mali zao.