Judges 2:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
sitayafukuza tena mataifa ambayo Yoshua aliyabakiza, wakati alipofariki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
mimi nami sitafukuza taifa lolote ambalo Yoshua aliliacha alipofariki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
mimi nami tokea sasa sitalifukuza taifa mojawapo la hayo aliyoyaacha Yoshua alipokufa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
sitayafukuza tena mataifa ambayo Yoshua aliyabakiza, wakati alipofariki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mimi nami sitafukuza taifa lo lote ambalo Yoshua aliliacha alipokufa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
mimi nami sitafukuza taifa lolote ambalo Yoshua aliliacha alipofariki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
mimi nami tokea sasa sitalifukuza taifa mojawapo la hayo aliyoyaacha Yoshua alipokufa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
sitayafukuza tena mataifa ambayo Yoshua aliyabakiza, wakati alipofariki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mimi nami sitaendelea kufukuza mbele yao watu wa hayo mataifa, Yosua aliowaacha alipokufa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
mimi nami tokea sasa sitalifukuza taifa mojawapo la hayo aliyoyaacha Yoshua alipokufa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
sitayafukuza tena mataifa ambayo Yoshua aliyaacha, wakati alipokufa.