Judges 2:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitayatumia mataifa hayo kuwajaribu Waisraeli nione kama watairudia njia yangu kama babu zao au sivyo.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitawatumia mataifa hao ili nipate kuwapima Israeli, nione kama wataishika njia ya Mwenyezi Mungu na kuenenda kwa njia hiyo jinsi baba zao walivyofanya.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ili kwa njia ya hayo nipate kuwajaribu Israeli, kwamba wataishika njia ya Bwana kwenda katika njia hiyo, au sivyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitayatumia mataifa hayo kuwajaribu Waisraeli nione kama watairudia njia yangu kama babu zao au sivyo.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitayatumia ili nipate kuwapima Israeli na kuona kama wataishika njia ya BWANA na kuenenda katika hiyo kama baba zao walivyofanya.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitayatumia ili nipate kuwapima Israeli na kuona kama wataishika njia ya bwana na kuenenda katika hiyo kama njia baba zao walivyofanya.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ili kwa njia ya hayo nipate kuwajaribu Israeli, kama wataifuata njia ya BWANA kwenda katika njia hiyo, au sivyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitayatumia mataifa hayo kuwajaribu Waisraeli nione kama watairudia njia yangu kama babu zao au sivyo.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ila nitawatumia kuwajaribu Waisiraeli, kama wataiangalia njia ya Bwana, waishike, kama baba zao walivyoishika, au kama wataiacha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ili kwa njia ya hayo nipate kuwajaribu Israeli, kwamba wataishika njia ya BWANA kwenda katika njia hiyo, au sivyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitayatumia mataifa hayo kuwajaribu Waisraeli nione kama watairudilia njia yangu kama babu zao au sivyo.”