Judges 2:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Malaika wa Mwenyezi-Mungu alipowaambia watu wote wa Israeli maneno haya, walipaza sauti zao na kulia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Malaika wa Mwenyezi Mungu alipomaliza kusema mambo haya kwa Waisraeli wote, watu wakalia kwa sauti kuu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa, hapo huyo malaika wa Bwana alipoyanena maneno haya, kuwaambia wana wa Israeli wote, ndipo hao watu wakainua sauti zao na kulia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Malaika wa Mwenyezi-Mungu alipowaambia watu wote wa Israeli maneno haya, walipaza sauti zao na kulia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Malaika wa BWANA alipomaliza kusema mambo haya kwa Waisraeli wote, watu wakalia kwa sauti kuu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Malaika wa bwana alipomaliza kusema mambo haya kwa Waisraeli wote, watu wakalia kwa sauti kuu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa, hapo huyo malaika wa BWANA alipoyanena maneno haya, kuwaambia wana wa Israeli wote, ndipo hao watu wakainua sauti zao na kulia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Malaika wa Mwenyezi-Mungu alipowaambia watu wote wa Israeli maneno haya, walipaza sauti zao na kulia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Malaika wa Bwana alipowaambia wana wote wa Isiraeli maneno haya, watu wakazipaza sauti zao, wakalia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa, hapo huyo malaika wa BWANA alipoyanena maneno haya, kuwaambia wana wa Israeli wote, ndipo hao watu wakainua sauti zao na kulia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Malaika wa Yawe alipowaambia watu wote wa Israeli maneno haya, wakalalamika na kulia.