Judges 2:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakapaita mahali hapo Bokimu. Hapo wakamtolea sadaka Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakapaita mahali pale Bokimu. Nao wakamtolea Mwenyezi Mungu sadaka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wakaliita jina la mahali pale Bokimu; nao wakamchinjia Bwana sadaka huko.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakapaita mahali hapo Bokimu. Hapo wakamtolea sadaka Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakapaita mahali pale Bokimu. Nao wakamtolea BWANA sadaka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakapaita mahali pale Bokimu. Nao wakamtolea bwana sadaka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wakaliita jina la mahali pale Bokimu; nao wakamchinjia BWANA sadaka huko.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakapaita mahali hapo Bokimu. Hapo wakamtolea sadaka Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo wakaliita jina la mahali hapo Bokimu (Vilio), kisha wakamtambikia Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakaliita jina la mahali pale Bokimu; nao wakamchinjia BWANA sadaka huko.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakapaita pahali pale Bokimu, ni kusema “Wanaolia”. Pale wakamutolea Yawe sadaka.