Judges 2:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waisraeli walimtumikia Mwenyezi-Mungu siku zote za maisha ya Yoshua na baada ya kifo chake muda wote walioishi wale wazee waliosalia ambao waliyaona matendo makuu ambayo Mwenyezi-Mungu aliwatendea Waisraeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu wakamtumikia Mwenyezi Mungu siku zote za maisha ya Yoshua, na za hao wazee walioishi baada ya Yoshua kufa, wale waliokuwa wameona mambo makuu ambayo Mwenyezi Mungu alikuwa ametenda kwa ajili ya Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watu hao wakamtumikia Bwana siku zote za Yoshua, na siku zote za hao wazee walioendelea siku zao baada ya Yoshua, hao waliokuwa wameiona hiyo kazi kubwa ya Bwana yote, aliyokuwa ameitenda kwa ajili ya Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waisraeli walimtumikia Mwenyezi-Mungu siku zote za maisha ya Yoshua na baada ya kifo chake muda wote walioishi wale wazee waliosalia ambao waliyaona matendo makuu ambayo Mwenyezi-Mungu aliwatendea Waisraeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wakamtumikia BWANA siku zote za maisha za Yoshua na za wazee walioishi kuliko Yoshua, ambao walikuwa wameona mambo makuu ambayo BWANA alikuwa ametenda kwa ajili ya Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wakamtumikia bwana siku zote za maisha ya Yoshua, na za hao wazee walioishi baada ya Yoshua kufa, waliokuwa wameona mambo makuu ambayo bwana alikuwa ametenda kwa ajili ya Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu hao wakamtumikia BWANA siku zote za Yoshua, na siku zote za hao wazee walioendelea siku zao baada ya Yoshua, hao waliokuwa wameiona hiyo kazi kubwa ya BWANA yote, aliyokuwa ameitenda kwa ajili ya Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waisraeli walimtumikia Mwenyezi-Mungu siku zote za maisha ya Yoshua na baada ya kifo chake muda wote walioishi wale wazee waliosalia ambao waliyaona matendo makuu ambayo Mwenyezi-Mungu aliwatendea Waisraeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watu wakamtumikia Bwana siku zote, Yosua alizokuwapo, nazo siku zote, walizokuwapo wale wazee waliokaa siku nyingi kuliko Yosua, ndio wale walioyaona matendo makuu yote, Bwana aliyowatendea Waisiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watu hao wakamtumikia BWANA siku zote za Yoshua, na siku zote za hao wazee walioendelea siku zao baada ya Yoshua, hao waliokuwa wameiona hiyo kazi kubwa ya BWANA yote, aliyokuwa ameitenda kwa ajili ya Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waisraeli walimutumikia Yawe siku zote za maisha ya Yoshua na nyuma ya kifo chake kwa muda wote wale wazee waliobaki waliishi ambao waliyaona matendo makubwa ambayo Yawe aliwatendea Waisraeli.