Judges 2:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yoshua mwana wa Nuni na mtumishi wa Mwenyezi-Mungu, alifariki akiwa na umri wa miaka 110.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yoshua mwana wa Nuni, mtumishi wa Mwenyezi Mungu, akafa akiwa na umri wa miaka mia moja na kumi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Yoshua mwana wa Nuni, mtumishi wa Bwana, akafa, naye alipata umri wa miaka mia na kumi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yoshua mwana wa Nuni na mtumishi wa Mwenyezi-Mungu, alifariki akiwa na umri wa miaka 110.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yoshua mwana wa Nuni, mtumishi wa BWANA, akafa akiwa na umri wa miaka 110.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yoshua mwana wa Nuni, mtumishi wa bwana, akafa akiwa na umri wa miaka 110.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Yoshua mwana wa Nuni, mtumishi wa BWANA, akafa, naye alikuwa na umri wa miaka mia moja na kumi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yoshua mwana wa Nuni na mtumishi wa Mwenyezi-Mungu, alifariki akiwa na umri wa miaka 110.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Yosua, mwana wa Nuni, mtumishi wa Bwana, akafa mwenye miaka 110.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Yoshua mwana wa Nuni, mtumishi wa BWANA, akafa, naye alipata umri wa miaka mia na kumi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yoshua mwana wa Nuni, na mutumishi wa Yawe, akakufa akiwa na umri wa miaka mia moja na kumi.