Judges 20:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wa makabila ya Israeli wakatuma wajumbe mpaka kila sehemu ya kabila la Benyamini, wakisema, “Je, ni uovu gani huu uliotukia miongoni mwenu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Makabila ya Israeli yakatuma watu kwenda katika kabila la Benyamini lote na kuwaambia, “Ni uovu gani huu wa kutisha uliotendeka kati yenu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha kabila za Israeli wakatuma watu waende katika kabila yote ya Benyamini, wakasema, Je! Ni uovu gani huu uliokuwa kati yenu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wa makabila ya Israeli wakatuma wajumbe mpaka kila sehemu ya kabila la Benyamini, wakisema, “Je, ni uovu gani huu uliotukia miongoni mwenu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Makabila ya Israeli yakatuma watu kwenda katika kabila la Benyamini lote na kuwaambia, “Ni uovu gani huu wa kutisha uliotendeka katikati yenu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Makabila ya Israeli yakatuma watu kwenda katika kabila la Benyamini lote na kuwaambia, “Ni uovu gani huu wa kutisha uliotendeka katikati yenu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha makabila ya Israeli wakatuma watu waende katika kabila yote ya Benyamini, wakasema, Je! Ni uovu gani huu uliokuwa kati yenu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wa makabila ya Israeli wakatuma wajumbe mpaka kila sehemu ya kabila la Benyamini, wakisema, “Je, ni uovu gani huu uliotukia miongoni mwenu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha mashina ya Waisiraeli wakatuma watu kwenda kwao mashina yote ya Benyamini kuwaambia: Hilo ni tendo baya gani lililofanyike kwenu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha kabila za Israeli wakatuma watu waende katika kabila yote ya Benyamini, wakasema, Je! Ni uovu gani huu uliokuwa kati yenu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wa makabila ya Israeli wakatuma wajumbe mpaka kila sehemu ya kabila la Benjamina, wakisema: “Ni uovu gani huu uliotukia kati yenu?