Judges 20:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi walikusanyika huko Gibea kutoka katika kila mji wao, ili kupigana na Waisraeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakatoka katika miji yao, wakakutanika Gibea ili kupigana na Waisraeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini wana wa Benyamini wakakutanika huko Gibea kutoka katika miji yao, ili watoke kwenda kupiga vita juu ya wana wa Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi walikusanyika huko Gibea kutoka katika kila mji wao, ili kupigana na Waisraeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakatoka katika miji yao ya Gibea ili kupigana na Waisraeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakatoka katika miji yao, wakakutanika Gibea ili kupigana na Waisraeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini wana wa Benyamini wakakutanika huko Gibea kutoka katika miji yao, ili watoke kwenda kupigana na wana wa Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi walikusanyika huko Gibea kutoka katika kila mji wao, ili kupigana na Waisraeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wana wa Benyamini nao wakakusanyika Gibea na kutoka mijini mwao, waende vitani kupigana na wana wa Isiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini wana wa Benyamini wakakutanika huko Gibea kutoka katika miji yao, ili watoke kwenda kupiga vita juu ya wana wa Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi wakakusanyika kule Gibea kutoka katika kila muji wao, kwa kupigana na Waisraeli.