Judges 20:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Waisraeli wakaenda asubuhi, wakapiga kambi yao karibu na mji wa Gibea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kesho yake asubuhi, Waisraeli wakaamka na kupiga kambi karibu na Gibea.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi wana wa Israeli waliondoka asubuhi, wakapanga hema zao juu ya Gibea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Waisraeli wakaenda asubuhi, wakapiga kambi yao karibu na mji wa Gibea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Asubuhi yake Waisraeli wakaamka na kupiga kambi karibu na Gibea.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Asubuhi yake Waisraeli wakaamka na kupiga kambi karibu na Gibea.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi wana wa Israeli waliondoka asubuhi, wakapanga hema zao ili kuvamia Gibea.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Waisraeli wakaenda asubuhi, wakapiga kambi yao karibu na mji wa Gibea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wana wa Isiraeli wakaondoka asubuhi, wakapiga makambi yao kuelekea Gibea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi wana wa Israeli waliondoka asubuhi, wakapanga hema zao juu ya Gibea.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Waisraeli wakaenda asubui, wakapiga kambi yao karibu na muji wa Gibea.