Judges 20:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wa kabila la Benyamini wakatoka nje ya mji wa Gibea wakapigana na Waisraeli, wakawaangusha chini siku hiyo, watu wa Israeli 22,000.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wabenyamini wakatoka Gibea na kuwaua Waisraeli elfu ishirini na mbili siku hiyo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana wa Benyamini wakatoka Gibea, wakaangamiza hata nchi watu ishirini na mbili elfu katika Israeli siku hiyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wa kabila la Benyamini wakatoka nje ya mji wa Gibea wakapigana na Waisraeli, wakawaangusha chini siku hiyo, watu wa Israeli 22,000.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wabenyamini wakatoka Gibea na kuwaua watu 22,000 wa Israeli siku ile.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wabenyamini wakatoka Gibea na kuwaua watu 22,000 wa Israeli siku ile.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wana wa Benyamini wakatoka Gibea, wakawaua watu elfu ishirini na mbili katika Israeli siku hiyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wa kabila la Benyamini wakatoka nje ya mji wa Gibea wakapigana na Waisraeli, wakawaangusha chini siku hiyo, watu wa Israeli 22,000.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Benyamini walipotoka Gibea, wakawafanyizia Waisiraeli vibaya siku hiyo na kulaza chini watu 22000.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana wa Benyamini wakatoka Gibea, wakaangamiza hata nchi watu ishirini na mbili elfu katika Israeli siku hiyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wa kabila la Benjamina wakatoka inje ya muji wa Gibea, wakapigana na Waisraeli, wakawaangusha chini siku hiyo, watu wa Israeli elfu makumi mbili.