Judges 20:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo siku ya pili Waisraeli wakakaribia kupigana na watu wa kabila la Benyamini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Waisraeli wakawakaribia Wabenyamini siku ya pili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi wana wa Israeli wakakaribia juu ya wana wa Benyamini siku ya pili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo siku ya pili Waisraeli wakakaribia kupigana na watu wa kabila la Benyamini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Waisraeli wakawakaribia Wabenyamini siku ya pili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Waisraeli wakawakaribia Wabenyamini siku ya pili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi wana wa Israeli wakakaribia juu ya wana wa Benyamini siku ya pili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo siku ya pili Waisraeli wakakaribia kupigana na watu wa kabila la Benyamini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Isiraeli walipowakaribia wana wa Benyamini siku ya pili,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi wana wa Israeli wakakaribia juu ya wana wa Benyamini siku ya pili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivyo, kwa siku ya pili Waisraeli wakakaribia kupigana na watu wa kabila la Benjamina.