Judges 20:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku hiyo ya pili watu wa kabila la Benyamini walitoka Gibea na kuwashambulia Waisraeli, wakawaangusha chini Waisraeli 18,000.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati huu, Wabenyamini walipotoka Gibea ili kupigana na Waisraeli, wakawaua wanaume elfu kumi na nane wenye panga.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Benyamini alitoka kupigana nao kutoka Gibea siku ya pili, wakaangamiza hata nchi watu kumi na nane elfu tena katika watu wa Israeli; hao wote walikuwa wenye kutumia upanga.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku hiyo ya pili watu wa kabila la Benyamini walitoka Gibea na kuwashambulia Waisraeli, wakawaangusha chini Waisraeli 18,000.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati huu, Wabenyamini walipotoka Gibea ili kupigana nao, wakawaua watu Waisraeli 18,000, wote wakiwa wamejifunga panga.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati huu, Wabenyamini walipotoka Gibea ili kupigana nao, wakawaua watu Waisraeli 18,000, wote wakiwa wamejifunga panga.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Benyamini alitoka kupigana nao kutoka Gibea siku ya pili, wakawaua watu elfu kumi na nane tena katika watu wa Israeli; hao wote walikuwa wenye kutumia upanga.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku hiyo ya pili watu wa kabila la Benyamini walitoka Gibea na kuwashambulia Waisraeli, wakawaangusha chini Waisraeli 18,000.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wana wa Benyamini wakatoka Gibea kukutana nao hiyo siku ya pili, wakawafanyizia wana wa Isiraeli vibaya na kulaza chini tena watu 18000, nao wote walikuwa watu waliojua kuchomoa panga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Benyamini alitoka kupigana nao kutoka Gibea siku ya pili, wakaangamiza hata nchi watu kumi na nane elfu tena katika watu wa Israeli; hao wote walikuwa wenye kutumia upanga.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa siku hiyo ya pili watu wa kabila la Benjamina walitoka Gibea na kuwashambulia Waisraeli, wakawaangusha chini Waisraeli elfu kumi na nane.