Judges 20:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waisraeli wakamwomba Mwenyezi-Mungu awape shauri. Wakati huo sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu lilikuwa huko Betheli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nao Waisraeli wakauliza ushauri kwa Mwenyezi Mungu. (Katika siku hizo Sanduku la Agano la Mungu lilikuwa huko,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha wana wa Israeli wakauliza kwa Bwana (kwa sababu sanduku la agano la Mungu lilikuwako huko siku hizo,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waisraeli wakamwomba Mwenyezi-Mungu awape shauri. Wakati huo sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu lilikuwa huko Betheli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nao Waisraeli wakauliza kwa BWANA. (Katika siku hizo Sanduku la Agano la Mungu lilikuwako huko
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nao Waisraeli wakauliza ushauri kwa bwana. (Katika siku hizo Sanduku la Agano la Mungu lilikuwa huko
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha wana wa Israeli wakauliza kwa BWANA (kwa sababu sanduku la Agano la Mungu lilikuwako huko siku hizo,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waisraeli wakamwomba Mwenyezi-Mungu awape shauri. Wakati huo sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu lilikuwa huko Betheli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wana wa Isiraeli wakamwuliza Bwana; nazo siku hizo Sanduku la Agano la Mungu lilikuwako huko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha wana wa Israeli wakauliza kwa BWANA (kwa sababu sanduku la agano la Mungu lilikuwako huko siku hizo,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waisraeli wakamwomba Yawe awape shauri. Wakati ule Sanduku la Agano la Yawe lilikuwa kule Beteli.