Judges 20:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo, Waisraeli wakaweka watu mafichoni kuuzunguka mji wa Gibea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Waisraeli wakaweka waviziaji kuizunguka Gibea.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Israeli akaweka watu wavizie kinyume cha Gibea kuuzunguka pande zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo, Waisraeli wakaweka watu mafichoni kuuzunguka mji wa Gibea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Waisraeli wakaweka waviziao kuizunguka Gibea.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Waisraeli wakaweka waviziao kuizunguka Gibea.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Israeli akaweka watu wavizie kinyume cha Gibea kuuzunguka pande zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo, Waisraeli wakaweka watu mafichoni kuuzunguka mji wa Gibea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo Waisiraeli wakaweka wenye kuvizia po pote pande zote za Gibea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Israeli akaweka watu wavizie kinyume cha Gibea kuuzunguka pande zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivyo, Waisraeli wakaweka watu kwenye maficho kuuzunguka muji wa Gibea.