Judges 20:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nao watu wa kabila la Benyamini, wakapata habari kwamba watu wale wengine wa Israeli walikuwa wamekusanyika huko Mizpa. Basi Waisraeli wakamwuliza yule mwanamume Mlawi “Tueleze, uovu huo ulifanyikaje?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
(Wabenyamini wakasikia kuwa Waisraeli wamepanda kwenda Mispa.) Ndipo Waisraeli wakasema, “Tuelezeni jinsi jambo hili ovu lilivyotendeka.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi wana wa Benyamini walipata habari ya kuwa wana wa Israeli wamekwea kwenda Mispa. Wana wa Israeli wakasema, Tuambieni huo uovu ulikuwaje kutendeka?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nao watu wa kabila la Benyamini, wakapata habari kwamba watu wale wengine wa Israeli walikuwa wamekusanyika huko Mizpa. Basi Waisraeli wakamwuliza yule mwanamume Mlawi “Tueleze, uovu huo ulifanyikaje?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Wabenyamini wakasikia kuwa Waisraeli wamepanda kwenda Mizpa.) Ndipo Waisraeli wakasema, “Tuelezeni jinsi jambo hili ovu lilivyotendeka.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
(Wabenyamini wakasikia kuwa Waisraeli wamepanda kwenda Mispa.) Ndipo Waisraeli wakasema, “Tuelezeni jinsi jambo hili ovu lilivyotendeka.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi wana wa Benyamini walipata habari ya kuwa wana wa Israeli wamekwea kwenda Mispa. Wana wa Israeli wakasema, Tuambieni huo uovu ulitendekaje?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nao watu wa kabila la Benyamini, wakapata habari kwamba watu wale wengine wa Israeli walikuwa wamekusanyika huko Mizpa. Basi Waisraeli wakamwuliza yule mwanamume Mlawi “Tueleze, uovu huo ulifanyikaje?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa Benyamini wakasikia, ya kuwa wana wa Isiraeli wamepanda kwenda Misipa. Ndipo, wana wa Isiraeli waliposema: Semeni, jinsi jambo hilo baya lilivyofanyika!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi wana wa Benyamini walipata habari ya kuwa wana wa Israeli wamekwea kwenda Mispa. Wana wa Israeli wakasema, Tuambieni huo uovu ulikuwaje kutendeka?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao watu wa kabila la Benjamina, wakapata habari kwamba watu wale wengine wa Israeli walikuwa wamekusanyika kule Misipa. Basi Waisraeli wakamwuliza yule mwanaume Mulawi: “Utuelezee, uovu ule ulifanyika namna gani?”