Judges 20:30 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waisraeli wakaenda kupigana na watu wa kabila la Benyamini katika siku ya tatu. Wakajipanga dhidi ya mji wa Gibea kama walivyofanya nyakati za hapo awali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Waisraeli wakapanda kupigana na Wabenyamini katika siku ya tatu na kuchukua nafasi zao dhidi ya Gibea kama walivyokuwa wamefanya hapo awali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi wana wa Israeli wakakwea kwenda kupigana na wana wa Benyamini siku ya tatu, wakajipanga ili kupigana na Gibea, kama walivyofanya nyakati nyingine.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waisraeli wakaenda kupigana na watu wa kabila la Benyamini katika siku ya tatu. Wakajipanga dhidi ya mji wa Gibea kama walivyofanya nyakati za hapo awali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Waisraeli wakapanda kupigana na Wabenyamini katika siku ya tatu na kujiweka kwenye nafasi zao dhidi ya Gibea kama walivyokuwa wamefanya hapo kwanza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Waisraeli wakapanda kupigana na Wabenyamini katika siku ya tatu na kujiweka kwenye nafasi zao dhidi ya Gibea kama walivyokuwa wamefanya hapo kwanza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi wana wa Israeli wakakwea kwenda kupigana na wana wa Benyamini siku ya tatu, wakajipanga ili kupigana na Gibea, kama walivyofanya hapo awali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waisraeli wakaenda kupigana na watu wa kabila la Benyamini katika siku ya tatu. Wakajipanga dhidi ya mji wa Gibea kama walivyofanya nyakati za hapo awali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Isiraeli walipowapandia wana wa Benyamini hiyo siku ya tatu wakajipanga kuelekea Gibea kama jana na juzi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi wana wa Israeli wakakwea kwenda kupigana na wana wa Benyamini siku ya tatu, wakajipanga ili kupigana na Gibea, kama walivyofanya nyakati nyingine.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waisraeli wakaenda kupigana na watu wa kabila la Benjamina katika siku ya tatu. Wakajipanga kwa kushambulia muji wa Gibea kama walivyofanya nyakati za mbele.