Judges 20:33 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo watu wote wa Israeli wakatoka kwenye sehemu yao na kujipanga tena huko Baal-tamari. Wenzao waliokuwa wanaotea wakatoka haraka mahali pao upande wa magharibi wa mji wa Gibea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanaume wote wa Israeli wakaondoka kwenye nafasi zao na kujipanga huko Baal-Tamari, nao wale waviziaji wa Waisraeli wakatoka ghafula walipokuwa kwenye uwanda wa magharibi mwa Gibea.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi hao watu wote wa Israeli wakaondoka mahali pao wakajipanga huko Baal-tamari; na hao wenye kuvizia wa Israeli wakatoka mahali hapo walipokuwa, hata Maare-geba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo watu wote wa Israeli wakatoka kwenye sehemu yao na kujipanga tena huko Baal-tamari. Wenzao waliokuwa wanaotea wakatoka haraka mahali pao upande wa magharibi wa mji wa Gibea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wote wa Israeli wakaondoka kwenye sehemu zao na kujipanga huko Baal-Tamari, nao wale waviziaji wa Waisraeli, wakatoka hapo walipokuwa kwenye uwanda wa magharibi ya Gibea.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wote wa Israeli wakaondoka kwenye sehemu zao na kujipanga huko Baal-Tamari, nao wale waviziaji wa Waisraeli, wakatoka hapo walipokuwa kwenye uwanda wa magharibi ya Gibea.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi hao watu wote wa Israeli wakaondoka mahali pao wakajipanga huko Baal-tamari; na hao wenye kuvizia wa Israeli wakatoka mahali hapo walipokuwa, hata Maare-geba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo watu wote wa Israeli wakatoka kwenye sehemu yao na kujipanga tena huko Baal-tamari. Wenzao waliokuwa wanaotea wakatoka haraka mahali pao upande wa magharibi wa mji wa Gibea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo Waisiraeli wote wakaondoka mahali pao kwenda kujipanga tena Baali-Tamari; papo hapo Waisiraeli waliovizia wakatoka upesi hapo, walipokuwa, upande wa machweoni kwa jua wa huko Geba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi hao watu wote wa Israeli wakaondoka mahali pao wakajipanga huko Baal-tamari; na hao wenye kuvizia wa Israeli wakatoka mahali hapo walipokuwa, hata Maare-geba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivyo watu wote wa Israeli wakatoka kwenye sehemu yao na kujipanga tena kule Bali-Tamari. Wenzao waliokuwa wanafichama wakatoka haraka pahali pao upande wa magaribi wa muji wa Gibea.