Judges 20:37 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wale waliowekwa kuuotea mji walitoka haraka na kuushambulia mji wa Gibea na kuwaua wote waliokuwamo kwa upanga.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale waviziaji wakafanya haraka kuingia Gibea, wakasambaa na kuwaua watu wote wa mji kwa upanga.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hao wenye kuvizia wakafanya haraka, wakaurukia Gibea; na hao wenye kuvizia wakaenda wakaupiga huo mji wote kwa makali ya upanga.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wale waliowekwa kuuotea mji walitoka haraka na kuushambulia mji wa Gibea na kuwaua wote waliokuwamo kwa upanga.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale waviziaji wakafanya haraka kuingia Gibea, wakasambaa na kuwaua watu wote wa mji kwa upanga.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale waviziaji wakafanya haraka kuingia Gibea, wakasambaa na kuwaua watu wote wa mji kwa upanga.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hao wenye kuvizia wakafanya haraka, wakaurukia Gibea; na kuushambulia mji wote kwa makali ya upanga.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wale waliowekwa kuuotea mji walitoka haraka na kuushambulia mji wa Gibea na kuwaua wote waliokuwamo kwa upanga.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao waviziao wakajihimiza, waushambulie mji wa Gibea; wao waviziao walipouteka wakawaua wote waliokuwamo mjini kwa ukali wa panga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hao wenye kuvizia wakafanya haraka, wakaurukia Gibea; na hao wenye kuvizia wakaenda wakaupiga huo mji wote kwa makali ya upanga.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wale waliowekwa kufichamia muji walitoka haraka na kuushambulia muji wa Gibea na kuwaua wote waliokuwa mule kwa upanga.