Judges 20:38 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walikuwa wamekubaliana na wale watu wengine wa Israeli juu ya ishara moja. Walikubaliana kwamba wale waliokuwa wanaotea watakapoona moshi mkubwa unapanda juu kutoka mjini,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waisraeli walikuwa wamekubaliana na hao waviziaji kuwa wangesababisha wingu kubwa la moshi lipande kutoka huo mji,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi hiyo ishara iliyoaganwa kati ya watu wa Israeli na hao wenye kuvizia ilikuwa ni hii, kwamba wafanye lipande wingu kubwa la moshi kutoka katika huo mji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walikuwa wamekubaliana na wale watu wengine wa Israeli juu ya ishara moja. Walikubaliana kwamba wale waliokuwa wanaotea watakapoona moshi mkubwa unapanda juu kutoka mjini,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waisraeli walikuwa wamepatana na hao waviziaji kuwa wangefanya lipande wingu kubwa la moshi kutoka katika huo mji,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waisraeli walikuwa wamepatana na hao waviziaji kuwa wangefanya lipande wingu kubwa la moshi kutoka huo mji,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi hiyo ishara iliyoaganwa kati ya watu wa Israeli na hao wenye kuvizia ilikuwa ni hii, kwamba wafanye lipande wingu kubwa la moshi kutoka katika huo mji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walikuwa wamekubaliana na wale watu wengine wa Israeli juu ya ishara moja. Walikubaliana kwamba wale waliokuwa wanaotea watakapoona moshi mkubwa unapanda juu kutoka mjini,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao Waisiraeli walikuwa wameagana nao waviziao kielekezo, kwamba wapandishe moshi mwingi kama wingu mle mjini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi hiyo ishara iliyoaganwa kati ya watu wa Israeli na hao wenye kuvizia ilikuwa ni hii, kwamba wafanye lipande wingu kubwa la moshi kutoka katika huo mji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walikuwa wamekubaliana na wale watu wengine wa Israeli juu ya kitambulisho kimoja. Walikubaliana kwamba wale waliokuwa wanajificha watakapoona moshi mukubwa unapanda juu kutoka katika muji,