Judges 20:39 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
basi, waushambulie mji. Wakati huo, watu wa kabila la Benyamini walikuwa tayari wameua watu wapatao thelathini wa Israeli na kuambiana, “Tumewapiga kama hapo awali.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ndipo Waisraeli wangegeuka kupigana. Wabenyamini walikuwa wameanza kuwapiga na kuwaua Waisraeli (wapatao thelathini), hivyo wakasema, “Hakika tunawashinda kama tulivyowashinda katika vita hapo awali.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao watu wa Israeli walipogeuka katika vile vita, Benyamini naye akaanza kupiga na kuwaua watu wa Israeli kama watu thelathini; kwani walisema, Hakika yetu wamepigwa mbele yetu, vile vile kama katika vile vita vya kwanza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
basi, waushambulie mji. Wakati huo, watu wa kabila la Benyamini walikuwa tayari wameua watu wapatao thelathini wa Israeli na kuambiana, “Tumewapiga kama hapo awali.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ndipo watu wa Waisraeli wangegeuka kupigana. Watu wa Benyamini walikuwa wameanza kuwapiga na kuua watu wa Israeli (wapatao thelathini), hivyo wakafikiri, “Hakika tutawapiga, kama tulivyowashinda katika vita hapo kwanza.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ndipo watu wa Waisraeli wangegeuka kupigana. Watu wa Benyamini walikuwa wameanza kuwapiga na kuua watu wa Israeli (wapatao thelathini), hivyo wakafikiri, “Hakika tutawapiga, kama tulivyowashinda katika vita hapo kwanza.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao watu wa Israeli walipogeuka katika ile vita, Benyamini naye akaanza kupiga na kuwaua watu wa Israeli kama watu thelathini; kwani walisema, Hakika yetu wamepigwa mbele yetu, vile vile kama katika ile vita ya kwanza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
basi, waushambulie mji. Wakati huo, watu wa kabila la Benyamini walikuwa tayari wameua watu wapatao thelathini wa Israeli na kuambiana, “Tumewapiga kama hapo awali.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa, Waisiraeli walipogeuka hapo penye mapigano, Wabenyamini walipoanza kuwapiga Waisiraeli na kuumiza kama watu 30 wakasema: Kweli wanapigwa mbele yetu kama katika mapigano ya kwanza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao watu wa Israeli walipogeuka katika vile vita, Benyamini naye akaanza kupiga na kuwaua watu wa Israeli kama watu thelathini; kwani walisema, Hakika yetu wamepigwa mbele yetu, vile vile kama katika vile vita vya kwanza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
basi, wageuke kwa kupigana. Wakati ule, watu wa kabila la Benjamina walikuwa wamekwisha kuua watu yapata makumi tatu wa Israeli na kuambiana: “Tumewapiga kama pale mbele.”