Judges 20:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yule Mlawi, mume wa yule suria, akawajibu, “Mimi na suria wangu tulifika mjini Gibea, mji wa kabila la Benyamini ili tulale huko usiku.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo yule Mlawi, mume wa yule mwanamke aliyeuawa, akasema, “Mimi na suria wangu tulifika Gibea ya Benyamini ili tulale huko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huyo Mlawi, huyo mume wa mwanamke aliyeuawa, akajibu na kusema, Mimi nilifikilia Gibea ulio wa Benyamini mimi na suria yangu, ili tulale.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yule Mlawi, mume wa yule suria, akawajibu, “Mimi na suria wangu tulifika mjini Gibea, mji wa kabila la Benyamini ili tulale huko usiku.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo yule Mlawi, mume wa yule mwanamke aliyeuawa, akasema, “Mimi na suria wangu tulifika Gibea ya Benyamini ili tulale huko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo yule Mlawi, mume wa yule mwanamke aliyeuawa, akasema, “Mimi na suria wangu tulifika Gibea ya Benyamini ili tulale huko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huyo Mlawi, huyo mume wa mwanamke aliyeuawa, akajibu na kusema, Mimi nilifika Gibea ulio wa Benyamini mimi na suria wangu, ili tulale.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yule Mlawi, mume wa yule suria, akawajibu, “Mimi na suria wangu tulifika mjini Gibea, mji wa kabila la Benyamini ili tulale huko usiku.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yule mtu wa Kilawi mwenye mwanamke aliyeuawa akajibu akisema: Naliingia Gibea wa Benyamini, mimi na suria yangu, tulale humo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huyo Mlawi, huyo mume wa mwanamke aliyeuawa, akajibu na kusema, Mimi nilifikilia Gibea ulio wa Benyamini mimi na suria yangu, ili tulale.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule Mulawi, mume wa yule muke, akawajibu: “Mimi na habara yangu tulifika katika muji wa Gibea, muji wa kabila la Benjamina kusudi tulale kule usiku.