Judges 20:42 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo wakageuka, wakawakimbia Waisraeli kuelekea jangwani, lakini vita vikawakumba; wakajikuta wako katikati ya majeshi mawili ya Israeli, na askari waliotoka wakawaangamiza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi wakakimbia mbele ya Waisraeli kuelekea nyikani, lakini hawakuweza kukwepa vile vita. Nao Waisraeli waliotoka katika ile miji wakawaua huko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa hiyo wakageuza maungo yao mbele ya wana wa Israeli kuelekea njia ya kwenda nyikani; lakini vile vita vikawaandamia kwa kasi; na hao waliotoka katika ile miji wakawaangamiza katikati yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo wakageuka, wakawakimbia Waisraeli kuelekea jangwani, lakini vita vikawakumba; wakajikuta wako katikati ya majeshi mawili ya Israeli, na askari waliotoka wakawaangamiza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi wakakimbia mbele ya Waisraeli kuelekea nyikani, lakini hawakuweza kuikwepa ile vita. Nao watu wa Israeli waliotoka katika ile miji wakawaua huko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi wakakimbia mbele ya Waisraeli kuelekea nyikani, lakini hawakuweza kukwepa vile vita. Nao watu wa Israeli waliotoka katika ile miji wakawaua huko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa hiyo wakageuza maungo yao mbele ya wana wa Israeli kuelekea njia ya kwenda nyikani; lakini ile vita ikawaandamia kwa kasi; na hao waliotoka katika ile miji wakawaangamiza katikati yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo wakageuka, wakawakimbia Waisraeli kuelekea jangwani, lakini vita vikawakumba; wakajikuta wako katikati ya majeshi mawili ya Israeli, na askari waliotoka wakawaangamiza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, walipogeuka na kuwaonyesha Waisiraeli migongo yao, wakashika njia ya kwenda nyikani; lakini mapigano yakaandamana nao, nao waliotoka mijini wakawaangamiza katikati yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa hiyo wakageuza maungo yao mbele ya wana wa Israeli kuelekea njia ya kwenda nyikani; lakini vile vita vikawaandamia kwa kasi; na hao waliotoka katika ile miji wakawaangamiza katikati yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakawakimbia Waisraeli kuelekea katika jangwa, lakini vita ikawapata. Wakajikuta wako katikati ya majeshi mawili ya Israeli, na waaskari waliotoka wakawaangamiza.