Judges 20:43 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waisraeli waliwazingira watu wa kabila la Benyamini, wakawafuatia kutoka Noha hadi mashariki ya mji wa Gibea wakiwaua wengi wao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakawazingira Wabenyamini pande zote, wakawafuatia na kuwafikia karibu na Gibea upande wa mashariki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Waliwazingira Wabenyamini pande zote na kuwafukuza, na kuwakanyaga-kanyaga hapo walipopumzika, hata kufikilia Gibea upande wa maawio ya jua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waisraeli waliwazingira watu wa kabila la Benyamini, wakawafuatia kutoka Noha hadi mashariki ya mji wa Gibea wakiwaua wengi wao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakawazingira Wabenyamini pande zote, wakawafuatia na kuwapata hapo walipopumzika katika viunga vya Gibea upande wa mashariki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakawazingira Wabenyamini pande zote, wakawafuatia na kuwapata hapo walipopumzika katika viunga vya Gibea upande wa mashariki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Waliwazingira Wabenyamini pande zote na kuwafukuza, na kuwakanyagakanyaga hapo walipopumzika, hadi upande wa mashariki mwa Gibea.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waisraeli waliwazingira watu wa kabila la Benyamini, wakawafuatia kutoka Noha hadi mashariki ya mji wa Gibea wakiwaua wengi wao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakawazunguka Wabenyamini kwa kuwafukuza, walipopumzika, wakawakimbiza mpaka ng'ambo ya Gibea ya upande wa maawioni kwa jua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Waliwazingira Wabenyamini pande zote na kuwafukuza, na kuwakanyaga-kanyaga hapo walipopumzika, hata kufikilia Gibea upande wa maawio ya jua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waisraeli waliwazunguka watu wa kabila la Benjamina, wakawafuatilia kutoka Noha mpaka upande wa mashariki wa muji wa Gibea wakiwaua wengi kati yao.