Judges 20:44 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku hiyo watu 18,000 wa kabila la Benyamini, wote askari hodari, waliuawa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakaanguka Wabenyamini elfu kumi na nane, wote wapiganaji hodari.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakaanguka watu wa Benyamini watu kumi na nane elfu, hao wote walikuwa ni watu waume mashujaa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku hiyo watu 18,000 wa kabila la Benyamini, wote askari hodari, waliuawa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakaanguka Wabenyamini 18,000 ambao wote ni mashujaa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakaanguka Wabenyamini 18,000 ambao wote ni mashujaa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakauawa Wabenyamini elfu kumi na nane, hao wote walikuwa ni wapiganaji hodari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku hiyo watu 18,000 wa kabila la Benyamini, wote askari hodari, waliuawa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakauawa kwao Wabenyamini 18000, nao hao wote walikuwa watu wenye nguvu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakaanguka watu wa Benyamini watu kumi na nane elfu, hao wote walikuwa ni watu waume mashujaa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku hiyo watu elfu kumi na nane wa kabila la Benjamina, wote waaskari hodari, wakauawa.