Judges 20:46 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jumla ya watu wote wa kabila la Benyamini waliouawa siku hiyo ilikuwa 25,000, askari hodari wa kutumia silaha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku hiyo wakawaua Wabenyamini elfu ishirini na tano wenye panga, wapiganaji hodari.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi jumla ya watu wa Benyamini walioanguka siku ile walikuwa ni watu ishirini na tano elfu waliokuwa wanatumia upanga; wote hao walikuwa ni watu mashujaa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jumla ya watu wote wa kabila la Benyamini waliouawa siku hiyo ilikuwa 25,000, askari hodari wa kutumia silaha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku ile wakawaua watu 25,000 waliokuwa mashujaa wa vita.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku ile wakawaua Wabenyamini 25,000 waliokuwa mashujaa wa vita.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi jumla ya watu wa Benyamini waliouawa siku ile walikuwa ni watu elfu ishirini na tano waliokuwa wapiganaji vita; wote hao walikuwa ni mashujaa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jumla ya watu wote wa kabila la Benyamini waliouawa siku hiyo ilikuwa 25,000, askari hodari wa kutumia silaha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, hesabu ya Wabenyamini wote walioangushwa ilivyokuwa siku hiyo watu 25000 waliojua kuchomoa panga, nao hao wote walikuwa watu wenye nguvu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi jumla ya watu wa Benyamini walioanguka siku ile walikuwa ni watu ishirini na tano elfu waliokuwa wanatumia upanga; wote hao walikuwa ni watu mashujaa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Jumla ya watu wote wa kabila la Benjamina waliouawa siku hiyo ilikuwa elfu makumi mbili na tano, waaskari hodari wa kutumia silaha.