Judges 20:47 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini wanaume 600 wa kabila la Benyamini walifaulu kukimbilia jangwani hadi kwenye mwamba wa Rimoni, wakakaa huko kwa muda wa miezi minne.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini watu mia sita wakakimbia kuelekea nyikani katika mwamba wa Rimoni, na kukaa huko muda wa miezi minne.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini watu waume mia sita wakageuka, wakakimbia upande wa nyikani mpaka jabali la Rimoni, wakakaa kwenye hilo jabali la Rimoni muda wa miezi minne.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini wanaume 600 wa kabila la Benyamini walifaulu kukimbilia jangwani hadi kwenye mwamba wa Rimoni, wakakaa huko kwa muda wa miezi minne.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini watu 600 wakakimbia kuelekea nyikani katika mwamba wa Rimoni, na kukaa huko muda wa miezi minne.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini watu 600 wakakimbia kuelekea nyikani katika mwamba wa Rimoni, na kukaa huko muda wa miezi minne.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini wanaume mia sita wakageuka, wakakimbilia upande wa nyika hadi katika jabali la Rimoni, wakakaa kwenye hilo jabali la Rimoni muda wa miezi minne.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini wanaume 600 wa kabila la Benyamini walifaulu kukimbilia jangwani hadi kwenye mwamba wa Rimoni, wakakaa huko kwa muda wa miezi minne.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini watu 600 waliogeuka wakakimbilia nyikani, wakakaa kwenye mwamba wa Rimoni miezi minne.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini watu waume mia sita wakageuka, wakakimbia upande wa nyikani mpaka jabali la Rimoni, wakakaa kwenye hilo jabali la Rimoni muda wa miezi minne.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wanaume mia sita wa kabila la Benjamina walipata kukimbilia katika jangwa mpaka kwenye mulima wa Rimoni, wakakaa kule kwa muda wa miezi mine.