Judges 20:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa enyi Waisraeli, shaurianeni na toeni uamuzi wenu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sasa, ninyi Waisraeli wote, semeni na mtoe uamuzi wenu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Angalieni, ninyi wana wa Israeli nyote, sasa toeni maneno na mashauri yenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa enyi Waisraeli, shaurianeni na toeni uamuzi wenu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sasa, ninyi Waisraeli wote, semeni na mtoe uamuzi wenu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sasa, ninyi Waisraeli wote, semeni na mtoe uamuzi wenu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Angalieni, ninyi wana wa Israeli nyote, sasa toeni maneno na mashauri yenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa enyi Waisraeli, shaurianeni na toeni uamuzi wenu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninyi nyote wana wa Isiraeli mko hapa, sasa toeni maneno na mashauri yenu hapa!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Angalieni, ninyi wana wa Israeli nyote, sasa toeni maneno na mashauri yenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa enyi Waisraeli, mushauriane na mutoe uamuzi wenu.”