Judges 20:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivi ndivyo tutakavyofanya kuhusu Gibea: Tutapiga kura namna ya kuwashambulia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sasa hili ndilo tutakaloitendea Gibea: Tutaikabili jinsi kura itakavyotuongoza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini jambo tutakalowatenda watu wa Gibea ni hili; tutakwea kwa kura kwenda kuupiga;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivi ndivyo tutakavyofanya kuhusu Gibea: Tutapiga kura namna ya kuwashambulia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sasa hili ndilo tutakaloitendea Gibea: Tutaikabili jinsi kura itakavyotuongoza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sasa hili ndilo tutakaloitendea Gibea: Tutaikabili jinsi kura itakavyotuongoza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini jambo tutakalowatenda watu wa Gibea ni hili; tutakwea kuushambulia kwa kupiga kura;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivi ndivyo tutakavyofanya kuhusu Gibea: Tutapiga kura namna ya kuwashambulia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tutakalowafanyizia Wagibea hi hili: Tutawajia kwa kujipigia kura.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini jambo tutakalowatenda watu wa Gibea ni hili; tutakwea kwa kura kwenda kuupiga;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivi ndivyo tutakavyofanya juu ya Gibea: Tutapiga kura namna ya kuwashambulia.