Judges 21:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waisraeli walikuwa wameapa huko Mizpa kwamba hakuna hata mmoja wao ambaye angemwachia binti yake aolewe kwa watu wa kabila la Benyamini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanaume wa Israeli walikuwa wameapa kiapo kule Mispa, wakasema: “Hapana mtu yeyote wetu atakayemwoza binti yake kwa Mbenyamini.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi watu wa Israeli walikuwa wameapa huko katika Mispa, wakisema, Hapana mtu awaye yote kwetu sisi atakayemwoza binti yake kumpa Benyamini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waisraeli walikuwa wameapa huko Mizpa kwamba hakuna hata mmoja wao ambaye angemwachia binti yake aolewe kwa watu wa kabila la Benyamini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa Israeli walikuwa wameapa kwa kiapo kule Mispa: “Hapana mtu awaye yote atakayemwoza binti yake kwa Wabenyamini.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa Israeli walikuwa wameapa kwa kiapo kule Mispa: “Hapana mtu yeyote atakayemwoza binti yake kwa Wabenyamini.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi watu wa Israeli walikuwa wameapa huko katika Mispa, wakisema, Hapana mtu yeyote kwetu sisi atakayemwoza binti yake kumpa Benyamini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waisraeli walikuwa wameapa huko Mizpa kwamba hakuna hata mmoja wao ambaye angemwachia binti yake aolewe kwa watu wa kabila la Benyamini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waisiraeli walikuwa wameapa huko Misipa kwamba: Mtu wa kwetu asimpe mtu wa Benyamini mwanamke wa kike kuwa mkewe!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi watu wa Israeli walikuwa wameapa huko katika Mispa, wakisema, Hapana mtu awaye yote kwetu sisi atakayemwoza binti yake kumpa Benyamini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waisraeli walikuwa wameapa kule Misipa kwamba hakuna hata mumoja kati yao ambaye angemwachilia binti yake aolewe kwa watu wa kabila la Benjamina.