Judges 21:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo jumuiya ya Israeli ikapeleka watu wake 12,000 walio hodari kabisa na kuwaamuru: “Nendeni mkawaue wakazi wa Yabesh-gileadi; wanawake pamoja na watoto.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo mkutano wakatuma wapiganaji elfu kumi na mbili, wakawaamuru kwenda Yabesh-Gileadi na kuua kwa panga wale wote walioishi huko, wakiwemo wake na watoto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi mkutano walipeleka huko watu kumi na mbili elfu wa hao waliokuwa mashujaa sana, kisha wakawaamuru, wakisema, Endeni mkawapige wenyeji wa Yabesh-gileadi kwa makali ya upanga, na hata wanawake na watoto wadogo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo jumuiya ya Israeli ikapeleka watu wake 12,000 walio hodari kabisa na kuwaamuru: “Nendeni mkawaue wakazi wa Yabesh-gileadi; wanawake pamoja na watoto.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo mkutano wakatuma askari kumi na wawili, wakawaamuru kwenda Yabeshi-Gileadi na kuwaua wale wote waishio huko, walikuwepo wake na watoto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo mkutano wakatuma askari 12,000 na wakawaamuru kwenda Yabeshi-Gileadi na kuwaua wale wote waishio huko, walikuwepo wake na watoto.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi mkutano walipeleka huko watu elfu kumi na mbili wa hao waliokuwa mashujaa sana, kisha wakawaamuru, wakisema, Endeni mkawapige wenyeji wa Yabesh-gileadi kwa makali ya upanga, na hata wanawake na watoto wadogo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo jumuiya ya Israeli ikapeleka watu wake 12,000 walio hodari kabisa na kuwaamuru: “Nendeni mkawaue wakazi wa Yabesh-gileadi; wanawake pamoja na watoto.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, watu wa mkutano walipochagua kwao walio wenye nguvu watu 12000, wakawatuma kwenda huko wakiwaagiza kwamba: Nendeni, mwapige wenyeji wa Yabesi wa Gileadi kwa ukali wa panga, hata wanawake na watoto!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi mkutano walipeleka huko watu kumi na mbili elfu wa hao waliokuwa mashujaa sana, kisha wakawaamuru, wakisema, Endeni mkawapige wenyeji wa Yabesh-gileadi kwa makali ya upanga, na hata wanawake na watoto wadogo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo Waisraeli wakapeleka watu wake elfu kumi na mbili elfu wanaokuwa hodari kabisa na kuwaamuru: “Muende muwaue wakaaji wa Yabesi-Gileadi; wanawake pamoja na watoto.