Judges 21:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtawaua wanaume wote na wanawake wote wasio mabikira.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakasema, “Hili ndilo mtakalofanya: Ueni kila mwanaume na kila mwanamke ambaye si bikira.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na jambo mtakalotenda ni hili; mtamwangamiza kila mume kabisa, na kila mwanamke ambaye amelala na mume.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtawaua wanaume wote na wanawake wote wasio mabikira.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakasema, “Hilo ndilo mtakalofanya. Ueni kila mtu mume na mke ambaye si bikira.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakasema, “Hilo ndilo mtakalofanya. Ueni kila mtu mume na mke ambaye si bikira.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na jambo mtakalotenda ni hili; mtamwangamiza kila mwanamume kabisa, na kila mwanamke ambaye amelala na mwanamume.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtawaua wanaume wote na wanawake wote wasio mabikira.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena hivi ndivyo mfanye: kila mume mtamtia mwiko wa kuwapo, vilevile kile mwanamke aliyekwisha kutambua mtu mume.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na jambo mtakalotenda ni hili; mtamwangamiza kila mume kabisa, na kila mwanamke ambaye amelala na mume.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutawaua wanaume wote na wanawake wote wasiokuwa mabikira.”