Judges 21:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha jumuiya nzima ikawapelekea ujumbe wa amani watu wa kabila la Benyamini ambao walikuwa kwenye mwamba wa Rimoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo mkutano ukatuma ujumbe wa amani kwa Wabenyamini huko katika mwamba wa Rimoni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi mkutano ukatuma watu na kunena na wana wa Benyamini waliokuwako huko katika jabali la Rimoni, wakawatangazia amani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha jumuiya nzima ikawapelekea ujumbe wa amani watu wa kabila la Benyamini ambao walikuwa kwenye mwamba wa Rimoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo mkutano ukatuma ujumbe wa amani kwa Wabenyamini huko katika mwamba wa Rimoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo mkutano ukatuma ujumbe wa amani kwa Wabenyamini huko katika mwamba wa Rimoni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi mkutano ukatuma watu na kunena na wana wa Benyamini waliokuwako huko katika jabali la Rimoni, wakawatangazia amani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha jumuiya nzima ikawapelekea ujumbe wa amani watu wa kabila la Benyamini ambao walikuwa kwenye mwamba wa Rimoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha watu wote wa mkutano wakatuma wengine kwenda kwa wana wa Benyamini huko mwambani kwa Rimoni, wawaambie, ya kuwa vita vimekwisha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi mkutano ukatuma watu na kunena na wana wa Benyamini waliokuwako huko katika jabali la Rimoni, wakawatangazia amani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha wote pamoja wakawapelekea ujumbe wa amani watu wa kabila la Benjamina ambao walikuwa kwenye mulima wa Rimoni.