Judges 21:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanaume hao wa kabila la Benyamini wakawarudia hao wenzao wakati huohuo. Basi wakapewa wale wanawake ambao walikuwa wamesalimishwa huko Yabesh-gileadi. Lakini wanawake hao hawakuwatosha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Wabenyamini wakarudi wakati ule, nao wakapewa wale wanawali wa Yabesh-Gileadi waliohifadhiwa. Lakini hawakuwatosha wanaume wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Benyamini wakarudi wakati huo; nao wakawapa wale wanawake waliowaponya wali hai katika hao wanawake wa Yabesh-gileadi; lakini hawakuwatosha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanaume hao wa kabila la Benyamini wakawarudia hao wenzao wakati huohuo. Basi wakapewa wale wanawake ambao walikuwa wamesalimishwa huko Yabesh-gileadi. Lakini wanawake hao hawakuwatosha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Wabenyamini wakarudi nyumbani mwao, wakapewa wale wanawali wa Yabeshi-Gileadi waliowaponya. Lakini hawakuwatosha wanaume wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Wabenyamini wakarudi nyumbani mwao, wakapewa wale wanawali wa Yabeshi-Gileadi waliowaponya. Lakini hawakuwatosha wanaume wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Benyamini wakarudi wakati huo; kisha wakawapa wale wanawake waliowasalimisha katika hao wanawake wa Yabesh-gileadi; lakini wanawake hao hawakuwatosha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanaume hao wa kabila la Benyamini wakawarudia hao wenzao wakati huohuo. Basi wakapewa wale wanawake ambao walikuwa wamesalimishwa huko Yabesh-gileadi. Lakini wanawake hao hawakuwatosha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Wabenyamini waliporudi kwao wakati huo, nao wale wakawapa wale wanawake wa Yabesi wa Gileadi, walioacha kuwaua, lakini hawakuwatoshea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Benyamini wakarudi wakati huo; nao wakawapa wale wanawake waliowaponya wali hai katika hao wanawake wa Yabesh-gileadi; lakini hawakuwatosha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanaume hao wa kabila la Benjamina wakawarudilia hao wenzao wakati uleule. Basi wakapewa wale wanawake ambao walikuwa wameachwa kule Yabesi-Gileadi. Lakini wanawake hao hawakuwatosha.