Judges 21:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lazima wanaume waliosalia wa kabila la Benyamini wapewe wanawake ili waendeleze kabila, na hivyo kusipotee kabila lolote katika Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakaendelea kusema, “Lazima tuwape Wabenyamini waliopona wake ili wawe na warithi, nalo kabila lolote katika Israeli lisifutike.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakasema, Lazima kuwa urithi kwa hao wa Benyamini waliopona, isiwe kabila kufutika katika Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lazima wanaume waliosalia wa kabila la Benyamini wapewe wanawake ili waendeleze kabila, na hivyo kusipotee kabila lolote katika Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale waliopona wa Wabenyamini ni lazima tuwapatie wake, ili wawe na warithi, ili kabila lo lote katika Israeli lisifutike.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale waliopona wa Wabenyamini ni lazima tuwape wake, ili wawe na warithi, ili kabila lolote katika Israeli lisifutike.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakasema, Lazima uwepo urithi kwa hao wa Benyamini waliopona, lisije likafutika kabila Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lazima wanaume waliosalia wa kabila la Benyamini wapewe wanawake ili waendeleze kabila, na hivyo kusipotee kabila lolote katika Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakasema: Fungu zima la nchi ni lao Wabenyamini waliopona, lisitoweke shina moja kwetu Waisiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakasema, Lazima kuwa urithi kwa hao wa Benyamini waliopona, isiwe kabila kufutika katika Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Inafaa wanaume waliobaki wa kabila la Benjamina wapewe wanawake kusudi waendeleshe kabila, na hivyo kusipotee kabila lolote katika Israeli.