Judges 21:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini hatuwezi kuwatoa binti zetu wawe wake zao, maana tulikwisha apa kwamba mtu yeyote atakayemwoza binti yake kwa mwanamume wa kabila la Benyamini alaaniwe.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hatuwezi kuwapa binti zetu kuwa wake, kwa kuwa sisi Waisraeli tumeapa kiapo hiki: ‘Alaaniwe mtu yeyote ampaye Mbenyamini mke.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini sisi hatuwezi kuwaoza binti zetu kwa maana wana wa Israeli walikuwa wameapa, wakisema, Na alaaniwe huyo atakayempa Benyamini mke.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini hatuwezi kuwatoa binti zetu wawe wake zao, maana tulikwisha apa kwamba mtu yeyote atakayemwoza binti yake kwa mwanamume wa kabila la Benyamini alaaniwe.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hatuwezi kuwapa binti zetu kuwa wake, kwa kuwa sisi Waisraeli tumeapa kiapo hiki: ‘Alaaniwe mtu ye yote ampaye Mbenyamini mke.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hatuwezi kuwapa binti zetu kuwa wake, kwa kuwa sisi Waisraeli tumeapa kiapo hiki: ‘Alaaniwe mtu yeyote ampaye Mbenyamini mke.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini sisi hatuwezi kuwaoza binti zetu kwa maana wana wa Israeli walikuwa wameapa, wakisema, Na alaaniwe huyo atakayempa Benyamini mke.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini hatuwezi kuwatoa binti zetu wawe wake zao, maana tulikwisha apa kwamba mtu yeyote atakayemwoza binti yake kwa mwanamume wa kabila la Benyamini alaaniwe.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini sisi hatuwezi kuwapa wana wetu wa kike kuwa wake zao, kwani sisi wana wa Isiraeli tumeapa kwamba: Aapizwe atakayempa Mbenyamini mwanamke!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini sisi hatuwezi kuwaoza binti zetu kwa maana wana wa Israeli walikuwa wameapa, wakisema, Na alaaniwe huyo atakayempa Benyamini mke.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini hatuwezi kuwatoa wabinti zetu wakuwe wake zao, maana tulikwisha kuapa kwamba mutu yeyote atakayemwoesha binti yake kwa mwanaume wa kabila la Benjamina alaaniwe.”