Judges 21:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, wakaenda mpaka Betheli wakakaa huko mbele ya Mungu hadi jioni. Wakapaza sauti na kulia kwa uchungu mwingi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu wakaenda Betheli, wakaketi mbele za Mungu hadi jioni, wakapaza sauti zao wakilia kwa uchungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi hao watu wakafikilia Betheli, wakaketi kuko mbele ya Mungu hata jioni, nao wakainua sauti zao na kulia sana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, wakaenda mpaka Betheli wakakaa huko mbele ya Mungu hadi jioni. Wakapaza sauti na kulia kwa uchungu mwingi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wakaenda Betheli, wakaketi mbele za Mungu mpaka jioni, wakapaza sauti zao, wakalia sana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wakaenda Betheli, wakaketi mbele za Mungu mpaka jioni, wakapaza sauti zao, wakalia sana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi hao watu wakafika Betheli, wakaketi huko mbele za Mungu hadi jioni, nao wakainua sauti zao na kulia sana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, wakaenda mpaka Betheli wakakaa huko mbele ya Mungu hadi jioni. Wakapaza sauti na kulia kwa uchungu mwingi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watu walipofike Beteli na kukaa huko mchana kutwa mbele ya Mungu, wakapaza sauti zao, wakalia kilio kikubwa
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi hao watu wakafikilia Betheli, wakaketi kuko mbele ya Mungu hata jioni, nao wakainua sauti zao na kulia sana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, wakaenda mpaka Beteli wakakaa kule mbele ya Mungu mpaka magaribi. Wakalalamika kwa sauti na kulia kwa uchungu mwingi.