Judges 21:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo wakawaamuru wale wanaume wa kabila la Benyamini, “Nendeni mkavizie na kuotea katika mashamba ya mizabibu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo wakawaelekeza Wabenyamini, wakisema, “Nendeni mkajifiche kwenye mashamba ya mizabibu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi wakawaagiza hao wana wa Benyamini wakisema, Haya, endeni, mkaotee katika mashamba ya mizabibu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo wakawaamuru wale wanaume wa kabila la Benyamini, “Nendeni mkavizie na kuotea katika mashamba ya mizabibu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo wakawaelekeza Wabenyamini wakisema, “Nendeni mkajifiche kwenye mashamba ya mizabibu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo wakawaelekeza Wabenyamini wakisema, “Nendeni mkajifiche kwenye mashamba ya mizabibu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi wakawaagiza hao wana wa Benyamini wakisema, Haya, nendeni, mkaotee katika mashamba ya mizabibu,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo wakawaamuru wale wanaume wa kabila la Benyamini, “Nendeni mkavizie na kuotea katika mashamba ya mizabibu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, wakawaagiza wana wa Benyamini kwamba: Nendeni kuvizia mizabibuni!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi wakawaagiza hao wana wa Benyamini wakisema, Haya, endeni, mkaotee katika mashamba ya mizabibu,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo wakawaamuru wale wanaume wa kabila la Benjamina: “Muende muvizie na kufichama katika mashamba ya mizabibu.”