Judges 21:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati huohuo Waisraeli wakaondoka, kila mtu akarudi katika eneo la kabila lake na jamaa yake. Kila mtu alirudi katika sehemu aliyogawiwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati huo Waisraeli wakaondoka sehemu ile na kwenda nyumbani kwao, kwa makabila yao na kwa jamaa zao, kila mmoja kwenye urithi wake mwenyewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wana wa Israeli wakati huo wakaenda zao, kila mtu akaenda kwa kabila yake na kwa jamaa yake; nao wakatoka huko, waende kila mtu kuuendea urithi wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati huohuo Waisraeli wakaondoka, kila mtu akarudi katika eneo la kabila lake na jamaa yake. Kila mtu alirudi katika sehemu aliyogawiwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati huo Waisraeli wakaondoka sehemu ile na kwenda nyumbani kwao, kwenye makabila yao na kwa jamaa zao, kila mmoja kwenye urithi wake mwenyewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati huo Waisraeli wakaondoka sehemu ile na kwenda nyumbani kwao, kwenye makabila yao na kwa jamaa zao, kila mmoja kwenye urithi wake mwenyewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wana wa Israeli wakati huo wakaenda zao, kila mtu akaenda kwa kabila lake na kwa jamaa yake; nao wakatoka huko, waende kila mtu kuuendea urithi wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati huohuo Waisraeli wakaondoka, kila mtu akarudi katika eneo la kabila lake na jamaa yake. Kila mtu alirudi katika sehemu aliyogawiwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wana wa Isiraeli wakaondoka huko, wakaenda kila mtu kwa shina lake na kwa ukoo wake. Ndivyo, walivyotoka huko kila mtu kwenda mahali pake palipokuwa fungu lake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wana wa Israeli wakati huo wakaenda zao, kila mtu akaenda kwa kabila yake na kwa jamaa yake; nao wakatoka huko, waende kila mtu kuuendea urithi wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati uleule Waisraeli wakaondoka, kila mutu akarudi katika eneo la kabila lake na jamaa yake. Kila mutu akarudi katika sehemu aliyogawanyiwa.