Judges 21:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa tutafanya nini ili kuwapatia wake hao wanaume wa kabila la Benyamini waliosalia? Maana tulikwisha apa kwa jina la Mwenyezi-Mungu kuwa hatutawapa binti zetu wawe wake zao!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sasa tutawezaje kuwapa binti zetu kuwa wake zao, hao waliobaki, na tumeapa kwa Mwenyezi Mungu kuwa hatutawapa binti zetu kuwa wake zao?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tufanyeje sisi ili tuwapatie wake hao waliosalia, kwa kuwa tumeapa kwa Bwana ya kwamba hatutawapa binti zetu ili wawaoe?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa tutafanya nini ili kuwapatia wake hao wanaume wa kabila la Benyamini waliosalia? Maana tulikwisha apa kwa jina la Mwenyezi-Mungu kuwa hatutawapa binti zetu wawe wake zao!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sasa tutawezaje kuwapa mabinti zetu wawe wake zao kwa hao waliobakia maadamu tumeapa kuwa hatutawapa binti zetu kuwa wake zao?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sasa tutawezaje kuwapa mabinti zetu wawe wake zao kwa hao waliobaki maadamu tumeapa kwa bwana kuwa hatutawapa binti zetu kuwa wake zao?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tufanyeje sisi ili tuwapatie wake hao waliosalia, kwa kuwa tumeapa kwa BWANA ya kwamba hatutawapa binti zetu ili wawaoe?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa tutafanya nini ili kuwapatia wake hao wanaume wa kabila la Benyamini waliosalia? Maana tulikwisha apa kwa jina la Mwenyezi-Mungu kuwa hatutawapa binti zetu wawe wake zao!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tufanyeje, wao waliosalia tuwapatie wanawake? Kwani sisi tumeapa na kumtaja Bwana, tusiwape wana wetu wa kike kuwa wake zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tufanyeje sisi ili tuwapatie wake hao waliosalia, kwa kuwa tumeapa kwa BWANA ya kwamba hatutawapa binti zetu ili wawaoe?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa tutafanya nini kwa kuwapatia wanawake hao wanaume wa kabila la Benjamina waliobaki kwa vile tulikwisha kuapa kwa jina la Yawe kwamba hatutawapa wabinti zetu wakuwe wake zao?”