Judges 21:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waisraeli walipohesabiwa huko Mizpa hakuna mkazi yeyote wa Yabesh-gileadi aliyehudhuria.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa walipohesabu waliona hapakuwa mtu yeyote wa Yabesh-Gileadi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana hapo watu walipohesabiwa, hakuwapo hata mtu mmoja katika wenyeji wa Yabesh-gileadi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waisraeli walipohesabiwa huko Mizpa hakuna mkazi yeyote wa Yabesh-gileadi aliyehudhuria.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walipohesabu waliona hakuna mtu ye yote wa Yabeshi-Gileadi aliyekuwapo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walipohesabu waliona hakuna mtu yeyote wa Yabeshi-Gileadi aliyekuwepo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana hapo watu walipohesabiwa, hakuwapo hata mtu mmoja katika wenyeji wa Yabesh-gileadi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waisraeli walipohesabiwa huko Mizpa hakuna mkazi yeyote wa Yabesh-gileadi aliyehudhuria.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watu walipojikagua wakaona: Kweli kwao wenyeji wa Yabesi wa Gileadi hakuja hata mmoja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana hapo watu walipohesabiwa, hakuwapo hata mtu mmoja katika wenyeji wa Yabesh-gileadi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waisraeli walipohesabiwa kule Misipa hakuna mukaaji yeyote wa Yabesi-Gileadi aliyehuzuria.