Judges 3:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo nchi ikawa na amani kwa muda wa miaka arubaini. Kisha Othnieli mwana wa Kenazi, akafariki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo nchi ikawa na amani kwa muda wa miaka arobaini, hadi Othnieli mwana wa Kenazi alipofariki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nayo nchi ikawa na amani muda wa miaka arobaini. Kisha Othnieli, mwana wa Kenazi, akafa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo nchi ikawa na amani kwa muda wa miaka arubaini. Kisha Othnieli mwana wa Kenazi, akafariki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo nchi ikawa na amani kwa muda wa miaka arobaini, mpaka Othnieli mwana wa Kenazi alipokufa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo nchi ikawa na amani kwa muda wa miaka arobaini, mpaka Othnieli mwana wa Kenazi alipofariki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nayo nchi ikawa na amani muda wa miaka arobaini. Kisha Othnieli, mwana wa Kenazi, akafa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo nchi ikawa na amani kwa muda wa miaka arubaini. Kisha Othnieli mwana wa Kenazi, akafariki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, nchi ilipopata kutulia miaka 40, kisha Otinieli, mwana wa Kenazi, akafa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nayo nchi ikawa na amani muda wa miaka arobaini. Kisha Othnieli, mwana wa Kenazi, akafa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Inchi ikakuwa na amani kwa muda wa miaka makumi ine. Kisha Otinieli mwana wa Kenazi, akakufa.