Judges 3:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Egloni akawakusanya Waamoni na Waamaleki, akaenda kupigana na Waisraeli, akawashinda. Akauteka Mji wa Mitende yaani Yeriko.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Egloni akawakusanya Waamoni na Waamaleki kwake, wakashambulia Israeli, na wakatwaa Mji wa Mitende.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huyo Egloni akakutanisha kwake wana wa Amoni na Amaleki; akaenda na kuwapiga Israeli, nao wakauchukua huo mji wa mitende.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Egloni akawakusanya Waamoni na Waamaleki, akaenda kupigana na Waisraeli, akawashinda. Akauteka Mji wa Mitende yaani Yeriko.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Egloni akawataka Waamoni na Waamaleki waungane naye, akaja kuishambulia Israeli, nao wakatwaa Mji wa Mitende.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Egloni akawataka Waamoni na Waamaleki waungane naye, akaja kuishambulia Israeli, nao wakatwaa Mji wa Mitende
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huyo Egloni akakutanisha kwake wana wa Amoni na Amaleki; akaenda na kuwapiga Israeli, nao wakauchukua huo mji wa mitende.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Egloni akawakusanya Waamoni na Waamaleki, akaenda kupigana na Waisraeli, akawashinda. Akauteka Mji wa Mitende yaani Yeriko.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, alipokusanya kwake wana wa Amoni na Waamaleki, kisha akaenda, akawapiga Waisiraeli, nao Mji wa Mitende wakauchukua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huyo Egloni akakutanisha kwake wana wa Amoni na Amaleki; akaenda na kuwapiga Israeli, nao wakauchukua huo mji wa mitende.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme Mwana-Ngombe akawakusanya Waamori na Waamaleki, akaenda kupigana na Waisraeli, akawashinda. Akauteka Muji wa Miti ya Ngazi, ni kusema Yeriko.